Photos and videos from all countries

Photos and videos for #ujenzi

Moja ya mambo ambayo nimedhamiria katika miaka yangu mitano Ni kuhakikisha Nyamagana tuna vituo vya michezo kwa maana ya maeneo yenye viwanja zaidi ya kimoja na hapa nilikuwa nakagua Eneo la Mirongo na Nyakabungo ambapo tunajenga viwanja vya Football,Netball,Basketball ,Volleyball Na Handball. Na hapa ujenzi umekamilika 82%.Viwanja vingine kama hivi tutajenga Buhongwa,Nyegezi,Na Igoma na Kishiri kwa Awamu ya Pili. #Nyamagana Kwanza!!

stanslaus_mabula
IRFS.AZ © is created in 2017, our goal is to provide people with information from Instagram API, that includes photos, videos and other media information from Instagram.