Photos and videos from all countries

Photos and videos for #msingi

Kumsaidia mtoto kupenda kusoma ni zawadi kubwa unaweza kumpatia mwanao maishani. #schoolproject #homework djameel_ahmed . . #mafanikio #masomo #shuleni #mtoto #vitabu #fikra #mawazo #upeo #mfano #novel #bird #drawing #hadithi #msingi #notes

21 1 Feb 22, 2018

Education still remains the best way to address humanitarian problems and for society advancement in all spheres of life. #Msingi imara.

18 0 Feb 21, 2018

#Msingi wa maisha bora ni kujituma kwenye kazi.Weekend njema kwako

74 5 Feb 17, 2018

TUMWENDEE KWA UJASIRI ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia. Na kama tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba. 1 YOHANA 5:14,15 ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Moja kati ya sala za kwanza nilizojifunza ilisema "Mungu bariki chakula hiki, ukitakase katika jina la Yesu... Amina..." na nyingine ilisema "Mungu tulinde usiku huu na utuamshe salama kesho asubuhi katika jina la Yesu... Amina..." ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Mara kwa mara ninajikuta nikitafakari sala hizi nilizozikariri ambazo zimedumu mpaka sasa wakati zinazo nafasi yao, nimejifunza kuwa sihitaji kila siku maneno mengi, kupata kina ili kufika kwa Mungu. ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Tunaweza kumwendea Mungu kwa sentensi fupi, mfululizo wa sentensi au hata sentensi ambayo haijakamilika. Kila wakati Mungu ataelewa, Petro mtembea juu ya maji alijifunza hili wakati alipoacha kumtazama Yesu, alianza kuzama. Ombi lake lilikuwa la maneno machache lakini muhimu sana. “Bwana niokoe!” [Mathayo 14:30] ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Sikio lile lile la huruma lililosikia kilio cha Petro ndilo sikio lile lile ambalo linasikiliza sauti yako. Panga muda wa kuzungumza Naye (Mungu) na fanya mazoea ya kuweka “Matakwa yako, furaha yako, huzuni zako, masumbuko yako na hofu zako mbele ya Mungu. Huwezi kumlemea, huwezi kumchosha Yeye. Yeye ambaye anahesabu nywele za vichwa vyenu anajali mahitaji ya watoto wake.” ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ #injiliyamilele #biblia #injili #neno #nenolamungu #bible #word #theword #wordofgod #threeangels #3angels #threeagelsmessage #msingi #maombi #prayers

4 0 Feb 5, 2018

NENO JUU YA NENO ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Nakuagiza mbele za Mungu, na mbele za Kristo Yesu,... lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho. 2 TIMOTHEO 4:1,2 ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Katika kile ambacho kimeitwa wosia wa Paulo, mwandishi na mwinjilisti mwenye bidii, anamwagiza Timotheo, mtoto wake wa Kiroho “kuhubiri Neno” [2 Timotheo 4:2]. Neno ambalo pia linajulikana kama Maandiko Matakatifu, lina ujumbe usio wa kawaida [2 Timotheo 3:15]. ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Limevuviwa na Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao na kwa kuwaongoza na kwa kuwaadibisha katika haki ili mtu wa Mungu awe kamili amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema [2 Timotheo 3:16 – 17] ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Kama vile ambavyo Paulo alivyomwelekeza Timotheo kwenye Maandiko Matakatifu, kadhalika na sisi tumeaswa kutembea katika nuru ya Neno la Mungu, ambalo ni taa ya miguu yetu na mwanga wa njia yetu. [Zaburi 119:105] ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Mungu, Muumbaji wa muda na umilele alishirikiana na watu waliokuwa tayari kutujulisha maagizo yake – kwa njia ya visa, unabii, mashahiri, nyimbo, maombi, desturi na nyaraka. ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Pamoja na kwamba waandishi hawa waliandika kwa nyakati tofauti za kihistoria, ujumbe wao kwa pamoja unaonesha kitovu wazi na kuelekeza mioyo yetu juu kutoka Neno lililoandikwa kwenda kwa Neno hai, ambaye ni Yesu Kristo [Yohana 5:39], akifunua tabia ya Mungu, upendo wake kwa wanadamu, mpango wake wa wokovu, kanuni zake za namna ya kuishi na ahadi yake ya kurudi upesi. ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Ndugu mpendwa jenga mazoea ya kila siku kutumia muda na Mungu katika barua yake ya upendo. Usisahau ya kwamba Alikuandikia wewe... ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ #injiliyamilele #biblia #injili #neno #nenolamungu #bible #word #theword #wordofgod #threeangels #3angels #threeagelsmessage #msingi

6 2 Feb 2, 2018

#Msingi land #relaxing #fresh #weather and #rain

32 2 Feb 1, 2018

KUZALIWA MARA YA PILI ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu. Yohana 3:5 ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni Yesu aliwakusanya pamoja wanafunzi wake katika mlima kule Galilaya. Aliwakabidhi kile ambacho kimekuja kufahamika kama “Utume mkuu.” ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Aliwatuma ulimwenguni akisema, “Basi enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu na kuwafundisha yote niliyowaamuru ninyi, na tazama mimi nipo pamoja nanyi siku zote hata ukamilifu wa dahari” [Mathayo 28:19, 20] ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Kwa mwitikio wa utume huu, maelfu hata mamilion wameshirikiana na mbingu katika kuwafanya wanafunzi kupitia maagizo yanayomlenga Kristo na kujengwa juu ya bilia na ubatizo. ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Kiishara ubatizo unawakilisha ukubali hadharani, ushirikishwaji na shukurani kwa maisha, kifo na ufufuo wa Yesu [Warumi 6:3 – 4]. Moyo ukiwa umezama/lowana na upendo usio na masharti, Yesu alikufa kifo tulichokistahili, alizikwa kaburini na akafufuka akiwa na mamlaka yote mikononi mwake. Wakati tumezamishwa katika maji ya ubatizo, tunakiri kifo cha Kristo kwa niaba yetu. Tunapoibuka kutoka majini tunakiri nguvu yake ya ufufuo na katika Kristo tukiumbe kipya. [2 Wakorintho 5:17] ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ Je, umebatizwa..? Umezaliwa mara ya pili kwa roho na kwa maji..? Je umebatizwa kwa ubatizo wa biblia..? Je, wajua bila kufanya hivyo huwezi kuuona ufalme wa MUNGU..? Mungu akusaidie ufanye maamuzi haya ya busara.. ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ #injiliyamilele #biblia #injili #neno #nenolamungu #bible #word #theword #wordofgod #threeangels #3angels #threeagelsmessage #msingi #baptism #ubatizo #kuzaliwa #kuzaliwamarayapili

6 0 Jan 31, 2018

SHULE ya #MSINGI ndio msingi WENYEWE, Na Secondary ndio #SECOND... Yaani #Old is #Gold... Watag. Wenye pic yao...

11 0 Jan 28, 2018

Bura BoY Never loose hope #Msingi imara kchwan kipara marafiki wana gigi papa mstri latha mtu mzima baba.....

37 5 Jan 23, 2018

#MSINGI #

5 1 Jan 21, 2018

Context...! Archprenuer..! El'grande designs... Sustainability design concepts!! #ujenzi #designs #architecture #construction #buildings #kujenga #buildings #ujenzimaarifa #architect #followforfollow #msingi #builders #tanzania #kenya #uganda #principles #crafting #culture

41 1 Jan 20, 2018

Context...! Archprenuer..! El'grande designs... Sustainability design concepts!! #ujenzi #designs #architecture #construction #buildings #kujenga #buildings #ujenzimaarifa #architect #followforfollow #msingi #builders #tanzania #kenya #uganda #principles #crafting #culture

58 0 Jan 20, 2018

Context...! Archprenuer..! El'grande designs... Sustainability design concepts!! #ujenzi #designs #architecture #construction #buildings #kujenga #buildings #ujenzimaarifa #architect #followforfollow #msingi #builders #tanzania #kenya #uganda #principles #crafting #culture

52 0 Jan 20, 2018

Context...! Archprenuer..! El'grande designs... Sustainability design concepts!! #ujenzi #designs #architecture #construction #buildings #kujenga #buildings #ujenzimaarifa #architect #followforfollow #msingi #builders #tanzania #kenya #uganda #principles #crafting #culture

37 0 Jan 19, 2018

Context...! Archprenuer..! El'grande designs... Sustainability design concepts!! #ujenzi #designs #architecture #construction #buildings #kujenga #buildings #ujenzimaarifa #architect #followforfollow #msingi #builders #tanzania #kenya #uganda #principles #crafting #culture

38 1 Jan 18, 2018

Kampuni ya Google mnamo mwaka 2010 ilitoa takwimu kwamba duniani kote kuna jumla ya vitabu zaidi ya Milioni 129. Vitabu hivi vyote hutusaidia kutatua matatizo yote yaliyopo duniani, Lakini hatuna haja ya kusoma vitabu vyote vilivyopo duniani kwa sababu kipo kitabu kimoja kinachoweza kufanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa kuliko jumla ya vyote vilivyobakia. Nacho ni BIBLIA, kitabu kilichosomwa zaidi vyote duniani. Biblia ina mkusanyiko wa vitabu 66, yaani 39 Agano la Kale na 27 katika Agano Jipya. Biblia haijapitwa na wakati na hilo kamwe halitaweza kutokea kwa sababu MUNGU mwenyewe aliiandika kupitia Manabii, Wafalme, Mitume na watu wa aina tofauti tofauti. Biblia hubadilisha kabisa maisha ya mtu mapotovu, mdhambi asiyefaa na akosaye furaha na tumaini maishani na kumfanya kiumbe kipya, mshindi wa dhambi, Mrithi wa Ahadi za Umilele. Neno la Mungu ni Nuru na Kweli inayotuweka huru mbali na Shetani, mbali na utumwa wa dhambi, mbali na madanganyo yote ya Ulimwengu huu. Wote ambao hawaipendi Biblia ambao hawatengi sehemu ya muda wao kujifunza na kutafakari mafunuo yake, kwa hakika watadhohofika kiroho na kupotea kabisa kwa sababu... Biblia ni Neno la Mungu lililo hai na lenye nguvu, nuru gizani, kipimo sahihi na cha pekee cha dhamiri, tabia, imani, mafundisho na dini, ufunuo thabiti wenye mamlaka wa mafundisho ya imani, na kumbukumbu aminifu ya matendo ya Mungu katika historia. Mpendwa, Biblia ni moja ya zawadi bora kabisa kutoka kwa Mungu kwako. Je, unaithamini kiasi gani zawadi hii..? Una ratiba maalumu ya kujifunza na kutafakari mafunuo yake..? Unaisoma kila siku..?? Hakuna cha maana zaidi kukuzuia usiyafanye hayo. Muombe MUNGU akusaidie na hakika maisha yako yatabadilika. Ubarikiwe (Jifunze Zaidi: II Pet 1:20,21, II Tim 3:16,17, Zab 119:105, Mith 30:5,6, Isa 8:20, Yoh. 17:17, I Wathe 2:9-13, Waeb. 4:12) #injiliyamilele #biblia #injili #neno #nenolamungu #bible #word #theword #wordofgod #threeangels #3angels #threeagelsmessage #google #books #imani #imanizamsingi #msingi

3 0 Jan 17, 2018
IRFS.AZ © is created in 2017, our goal is to provide people with information from Instagram API, that includes photos, videos and other media information from Instagram.